Isaiah 48:7


7 aYameumbwa sasa, wala si tangu zamani;
hukupata kuyasikia kabla ya siku ya leo.
Hivyo huwezi kusema,
‘Naam, niliyajua hayo.’
Copyright information for SwhKC